Shule yetu ya Kanisa ijulikanayo kama
Kahama adventist English Medium Pre/Primary  School ni shule ambayo inapatikana maeneo ya Mbulu pembeni kidogo ya Mji wa Kahama ndani ya wilaya hii, shule hii ina madarasa ya awali na msingi ambapo madarasa ya awali yapo Kwenye eneo la Kanisa la wasabato mjini kati, shule hii ina sifa ya kufanya vizuri katika mitihani ya ndani na nje ya wilaya