Idara ya huduma kwa Kanisa la Kahama ina viongozi wawili nao ni Obote Kalimagi Mkuu na Elizabeth Richard Katibu. watu hawa wakishirikiana na washiriki wa Kanisa wamefanikisha kufanya mahubiri katika eneo la Nyihogo ndani ya mji wa Kahama yaliyowezesha kubatizwa kwa watu 36 ambao waliyatoa maisha yao kwa Yesu.