MATANGAZO YA 27/03/2021
MATANGAZO YA KANISA KAHAMA CENTRAL 27.03.2021.
- 1. Ukaribisho wa wageni.
- 2. Leo ni utoaji wa sadaka ya Field, washiriki wote mnaombwa kushiriki zoezi hilo.
- 3. Leo tutahitimisha juma la maombi la vijana lililoanza tar 20.03.2021.
- 4. Wakuu wa idara mnatakiwa kuleta taarifa zenu za robo leo.
- 5. Meza ya Bwana imesogezwa mbele hivyo itakua sabato ijayo ya tar 03.04.2021,mashemasi wote mnaombwa kuwepo wote siku ya ijumaa kwaajili ya maandalizi.
- 6. Kutakua na juma la elimu litakaloanza kesho tar 28.03.2021 hadi tar 03.04.2021, muda ni kuanzia saa 11 kamili jioni
- 7. Kambi la vijana litaanza kesho tar 28.03.2021 hadi tar 01.04.2021 litakalofanyika mbogwe Geita, wahusika vijana wakubwa wote, usipange kukosa, kiingilio ni sh. 6000/=
- 8. Tarehe 9-11/04/2021 kutakuwa na wikendi ya uimbaji, na kwaya kutoka Betheli Geita watakuja, hivyo kwaya zetu zijiandae.
- 9. Kutakuwa na juma la maombi kuanzia tar 10-17/04/2021 na mnenaji atakua ni Pr Maotola Lumbe kutoka Dar es salaam mtaa wa Tabata, washiriki wote tuombee juma hilo.
10. Big day ya wanawake itakua tarehe 24.4.2021,Goli la kanda ya kahama ni milioni mbili (2,000,000/=).
11. Jumatano saa tisa alasiri mashemasi wote mnaombwa kukutana hapa kanisani
12. Wakina mama wote wabaki baada ya ibada, mkuu wa akina mama anahitaji kuongea nao.
13. Wafuatao wabaki baada ya Ibada
- Mashemasi wote,
- Wakuu wa idara zote,
- Viongozi wote wanaokwenda kwenye kambia Geita,
- Pamoja na wazee wa kanisa wote.
14. Waliobatizwa mwaka jana pamoja na mwaka huu wakutane na wazee wa kanisa leo saa kumi kamili jioni kwenye kanisa la watoto.
15. KUHAMISHA NAKUPOKEA WASHIRIKI
KUPOKEA- TUNASOMA KWA MARA YA PILI
1.GERALD JAMES KUTOKA KARUKWANZI SDA – KARAGWE
KUHAMISHA- TUNASOMA KWA MARA YA PILI
1.GEORGE NZELLA- KWENDA BUSWELU S.D.A MWANZA
2.DEBORA JOACHIM- KWENDA MTO WA MBU S.D.A KILIMANJARO
3.CHARLES JOSEPH KAYUGA-KWENDA SALASALA S.D.A DAR-ES-SALAAM
4.YUSUPH HESWA – KWENDA-NYANKENDE S.D.A MASUMBWE
5.MALONGO RICHARD SAYI- KWENDA KIKUYU S.D.A DODOMA
6.ALLEN. D. NNKO-KWENDA ISHILLANGA S.D.A MASUMBWE