Matangazo ya 06/03/2021
MATANGAZO YA KANISA KAHAMA MJINI 06.03.2021.
- 1. Ukaribisho wa wageni.
- 2. Kutakua na msisitizo wa washiriki kujiunga na uinjilisti wa vitabu utakaofanyika tar 13.03.2021 na utaendeshwa na pr Enock Sando.
- 3. Kutakua na juma la maombi kuanzia tar 10-17/04/2021 na mnenaji atakua ni pr Maotola kutoka Dar es salaam mtaa wa Tabata, washiriki wote tuombee juma hilo.
- 4. Kiingilio cha shule sabato mwisho kesho tarehe7.3.2021saa 4asubuhi.
- 5. Wakurugenzi wa unioni watakua hapa kuanzia ijumaa ya tarehe 12.3.2021, kwaya zote ziwe kwenye uniform kwa wakati.
- 6. Big day ya wanawake itakua tarehe24.4.2021,Goli la kanda ya kahama ni milioni mbili.
- 7. Sabato ijayo ya tarehe 13.3.2021vijana wote ndani ya uniform zao watasali nyasubi.wote wajiandae.
- 8. Sabato ya tar 27.04.2021 itakua ni sabato ya kutoa sadaka ya ujenzi wa Field yetu, kila mshiriki ajiandae.
- 9. Ukarabati wa ofisi ya mchungaji unaendelea, kwa mshiriki mmoja mmoja peleka sadaka yako kwa mhazini wa kanisa.
10. Tar 9-11/04/2021 kutakua na wikendi ya uimbaji, na kwaya kutoka Betheli Geita watakuja hivyo kwaya zetu zijiandae, msisitizo, kwaya za kanisa zinatakiwa kutunga wimbo wa shule ya sabato.
11. Mashemasi wote wa kike na wakiume kutakua na kikao leo saa kumi kamili mnaomba kuhudhuria.
12. Washiriki wanaohitaji kadi za ushirika za kutolea zaka na sadaka zinapatikana ofisi za makarani,njoo na kadi iliyotumika ikajaa.
13. Leo jioni tar 6.3.2021 kutakua na kikao cha kanda yote ya kahama kitakachofanyika nyahanga saa11:00jioni wajumbe ni
- Ø wachungaji wote
- Ø wasaidizi wa wachungaji
- Ø wazee wa mkanisa
- Ø wahazini
- Ø Makarani
- Ø Wakuu wa huduma
- Ø Mwenyekiti /katibu wa kanda.
14. Tunakumbushwa kutoa sadaka ya rambirambi ya kufarijiana kila mtu tsh 2000 wale ambao hawatatoa kwa misiba mitatu iliyopita wahakikishe wanafanya hivyo, maana kumbukumbu zinatunzwa ni vizuri kushirikiana na washiriki wenzako.waone wahazini wa kanisa.
15. Waimbaji wote,walimu wa kwaya na vikundi,mafundi mitambo na wapiga vyombo wakutane baada ya ibada kwenye benchi la vijana.
16. Kutakua na semina ya muziki tar26-29 nyasubi wahusika wote wajiandae.
17. Wana wa kike wabaki mara baada ya ibada.
18. Wahudumu wiki ijayo idara ya mziki
- Ø Vyombo Musa ndemela
- Ø Muimbishaji Samweli musa
- Ø Mpiga kinanda Zakayo medadi
- Ø Jumatano kwaya ya vijana
- Ø Ijumaa kwaya ya kanisa.
19. Wajumbe wote wa kufuatilia swala la mnara wanaombwa kuhudhuria kikao kesho tar 28.02.2021 saa 8:00 hapa kanisani, fika bila kukosa.
20. kutakua na kambi la vijana litakaloanza tar 28.03.2021 hadi tar 03.04.2021 litakalofanyika mbogwe Geita, wahusika vijana wakubwa wote, usipange kukosa, kiingilio ni sh. 6000/=, mwisho wa kutoa ni tar 15.03.2021;
- 21. Maombi maalum ya kufunga na kuomba siku arobain,ambayo yalianza tarehe 1/2/2021 hadi tarehe 12/03/2021 yanaendelea.wote mnakaribishwa kushiriki maombi haya.
- 22. kutakua na kusanyiko la vijna kanda ya kahama tarehe 13.03.2021 Nyasubi; vijana wote waendelee kujiandaa.
23. Kutakuwa na semina ya shule sabato ambayo itaanza tarehe 16-20march2021 hapa kahama central sda church.Semina hiyo itasimamiwa na viongozi wa division,union,na conference zote.Wahusika ni viongozi wote wa shule sabato,walimu wa leson,walimu wa watoto,wazee wa makanisa,wachungaji na washiriki wote.
24. Kutakuwa na juma la maombi la vijana tarehe 14-20/03/2021,ambalo litaambatana na matendo ya huruma.
25. KUPOKEA WASHIRIKI; tunasoma kwa mara ya pili
KUPOKEA;
- PRISILLA S. LUZUGA KUTOKA UDOM
- ZAWADI YOHANA SOMELA KUTOKA SIMA SDA CHURCH
-
26. wafuatao walipendekezwa kuimba kwaya ya kanisa.
- ZAWAD YOHANA SOMELA
- MILLIUM ISULA
- AGINES EZEKIEL