Prayer Requests
-
Washiriki mnaombwa kushiriki katika maombi ya kufunga mwaka hii ni kwa familia,Kanisa na mtu mmoja mmoja ili tunapomaliza mwaka huu na kuanza mwaka mwingine Mungu afanye kitu kitakachoyabadilisha maisha yetu kumwelekea yeye muumba wa mbingu na nchiErnest Petro - Nov 17 2020